Chuo kikuu dodoma hali si shwali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chuo kikuu dodoma hali si shwali

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by papachu, Apr 28, 2011.

 1. p

  papachu Member

  #1
  Apr 28, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kusema kweli kilichotokea koleji ya kitivo cha sayansi ya mawasiliano chuo kikuu cha dodoma ni matokeo ya masilai ya watu wachache cha kuchakachua fedha za watoto wa walala hoi wa kitanzania,kwani hawa wanachuo wameingia mkataba na bodi ya mikopo kuwa watapatiwa fedha za special faculty requirement,ambazo zitalipwa pindi wamalizapo chuo,cha ajabu uongozi wa chuo inawapatia wanachuo TSH 50,000/= ambazo uwezi kununua flash na scintific calculate,
  kusema kweli faculty za computer engineering,software enginnering,telecommunication engineering,computer science,wanahitaji vifaa maalumu kwa ajiri ya masomo yao cha ajabu uongozi wa chuo unachuchakachua fedha za wanafunzi hao na kuwapatia kiasi kidogo cha fedha ambacho ni TSH 50,000/=
  pili elimu itulewayo hapo chuoni ni mbovu kwani chuo kina kompyuta 50 wanafunzi zaidi ya 1,100 wanafunzi wanafundishwa na waitimu wa digrii ya kwanza ambao nao ni wanafunzi chuoni hapo wanasoma masters,chuo akina wahadhiri utakuta kozi ya semista nzima inafundishwa kwa wiki moja tena inafundishwa na walimu wa pati time toka chuo kikuu udsm
  pia chuo hicho kinaongoza kwa kufelisha wanafnzi kila mwaka utakuta wanafunzi zaidi ya 100 wanadiscontinuel na wakijikuta wanarudi nyumbani,utakuta wanafunzi wanasoma engineering yaani awana tofauti na wale wasio soma engineering kwani wanavifaa vya kimasomo,je tunazalisha maenginner wa aina gani kwa kifupi chuo akina wahadhiri,akina sifa ya kutoa kozi za engineering,tunaomba tume ya vyuo vikuu tanzania ifanye uchunguzi chuoni hapo
   
 2. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,919
  Likes Received: 451
  Trophy Points: 180
  duh,tatizo hasa nini kwa watawala wa chuo...Ben Mkapa nadhani ndio Chairman hapo!!pelekeni malalamiko kwake,he is very strong person to accomodate the issue, sema tatizo siasa zimeingia kati na zinakitafuna chuo..huko India former Prezidaa wao APJ Abdul Kalam baada ya kuachia uongozi kawa Lecturer chuo flani Chennai...mambo safi kabisa sasahv wanarusha rocket tu wahindi,lakini hapa bongo....lol
   
 3. Elisante Yona

  Elisante Yona Senior Member

  #3
  Apr 29, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 130
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Je Elimu bila Migomo inawezekana Tanzania? Maana Muda mwingi wa masomo unapotea kwa wanachuo kugoma,hatima yake ni nini? Hili linanikera sana, Vyuo vikuu sio sehemu ya siasa,ni sehemu ya watu kupata maarifa ya kutatua matatizo ya umma,lakini mara utasikia mgomo UDSM,UDOM,hili halileti kuwa na wanafunzi wenye marifa,hata wakimaliza vyuo wanachaguliwa kuwa wabunge wanakuwa na mawazo ya kimigomo,Tubadilike,na wanafunzi wanapopewa mkopo kuwepo mkataba kati ya bodi ya mikopo na mwanafunzi,ilikuepuka migomo isiyo na maana. Bodi ya mikopo iwajibike kujibu kero za wanafunzi na sio mpaka wafikie hatua ya kugoma.Poleni sana vijana wa UDOM.
   
 4. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2011
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hapo hakuna tofauti na lile tangazo la haki elimu, hii ni sipuyu kwenye mchoro!!!!
   
Loading...