caiden mills Member Joined Jul 13, 2019 Posts 49 Reaction score 19 Jul 22, 2023 #1 Uliza chochote kuhusu chuo kikuu cha Dodoma.
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 27,494 Reaction score 55,132 Oct 22, 2023 #2 Ujasi ndo nini..?
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 21,699 Reaction score 41,862 Oct 22, 2023 #3 Utengeneze vzr huu uzi halafu toa hizo picha za hao madogo,weka picha za uongozi wa chuo.
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 17,667 Reaction score 21,871 Oct 22, 2023 #4 Swala la kunguni mmeshalimaliza au bado
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 27,494 Reaction score 55,132 Oct 22, 2023 #5 kina kirefu said: Swala la kunguni mmeshalimaliza au bado Click to expand... Kunguni washafika wapiga dawa toka majuzi huko.... Na washaanza kuwaangamiza
kina kirefu said: Swala la kunguni mmeshalimaliza au bado Click to expand... Kunguni washafika wapiga dawa toka majuzi huko.... Na washaanza kuwaangamiza
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,168 Reaction score 69,673 Oct 22, 2023 #6 Special Thread Ya UDOM Ipo JF Siku Nyingi Uongozi Unganisheni Hii Kwenye Ile Kubwa
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,168 Reaction score 69,673 Oct 22, 2023 #7 kina kirefu said: Swala la kunguni mmeshalimaliza au bado Click to expand... Dodoma Jua Kali Ndiyo Muda Wa Kutoa Magodoro Juani Mwezi Mzima
kina kirefu said: Swala la kunguni mmeshalimaliza au bado Click to expand... Dodoma Jua Kali Ndiyo Muda Wa Kutoa Magodoro Juani Mwezi Mzima
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 27,494 Reaction score 55,132 Oct 22, 2023 #8 Kennedy said: Special Thread Ya UDOM Ipo JF Siku Nyingi Uongozi Unganisheni Hii Kwenye Ile Kubwa Click to expand... Sio active
Kennedy said: Special Thread Ya UDOM Ipo JF Siku Nyingi Uongozi Unganisheni Hii Kwenye Ile Kubwa Click to expand... Sio active
I iphone 18 promax JF-Expert Member Joined Nov 17, 2012 Posts 2,918 Reaction score 2,149 Oct 22, 2023 #9 caiden mills said: Uliza chochote kuhusu chuo kikuu cha Dodoma.View attachment 2695960View attachment 2695968 Click to expand... Utaratibu bado uleule supervisor wanakuwa wawili kwa masters huyu anaongea hili Yule hili au wamebakiza mmoja? Na Kumaliza nako bado shida zilezile tu?
caiden mills said: Uliza chochote kuhusu chuo kikuu cha Dodoma.View attachment 2695960View attachment 2695968 Click to expand... Utaratibu bado uleule supervisor wanakuwa wawili kwa masters huyu anaongea hili Yule hili au wamebakiza mmoja? Na Kumaliza nako bado shida zilezile tu?