Chuo gani kinatoa kozi ya clinical officer kwa ada nafuu

muro121

Member
Nov 24, 2016
62
50
ningependa kujuzwa ,vyema ,

1- kwa daresalaam na morogoro ni chuo gani kina toa cause hii ya clinical officer kwa ada nafuu, na uhakika wa kujipatia ajira.

2. Naweza kusoma ASSISTANCE MEDICAL OFFICER ,kabla baada ya kuitimu vyema kidato cha nne?
 
Hahahaa!, hakuna course za direct namna hiyo. Hata ukisoma Agronomy wewe utakuwa Agronomist
 
ok , by the way, clinical officer inapendwa sana na watu ila kwangu sijua kwann , coz nilifuatilia post za members humu ndani juu ya mshara wao haufiki hata m.1
 
Okay, sawa haina shida. Ni nzuri sana hiyo hebu kaisome maana hata kujiajiri ni rahisi sana. Unaweza ukaanza kwa kufungua kaduka ka dawa muhimu
 
ok , by the way, clinical officer inapendwa sana na watu ila kwangu sijua kwann , coz nilifuatilia post za members humu ndani juu ya mshara wao haufiki hata m.1
Watu wanasoma c.o n kwa sababu wengi wanashindwa kuingia medicine fresh from alevel due to high competition pia na vyuo vichache ko mtu anakosa njia nyingine ya kuishi ndoto zake ukiachia wale wanaopitia shortcut ya form four..... Na pia inapendwa coz ajira yake n reliable ni kama udaktari tuuuu
 
safi sana
 
ok , by the way, clinical officer inapendwa sana na watu ila kwangu sijua kwann , coz nilifuatilia post za members humu ndani juu ya mshara wao haufiki hata m.1
Diploma zote za afya serikalini hakuna ifikayo laki saba kabla ya makato.Wanazidiwa hadi na mwalimu mwenye degree
 
Back
Top Bottom