Asante sana mkuu,sikujua kama sua ipo, tena imekua bora zaid ngoja niipekue kwenye web yao, ila hapo kwenye duration 4yrs dah! kweli kusoma waweza zeekea shule
Kwakifupi nimesoma hapo SUA! Four years net! Kwa kesi yako ungeweza kwenda vyuo vya technical ukasoma miaka mitatu kama tu ungekua na diploma ya civil au ya irrigation! Ila kwa sua hawaruhusu! Hata kama una diploma ni LAZIMA upige miaka minne!!