Sokoine University of Agriculture wanatoa-BSc.(Irrigation and Water Resources Engineering) - Duration 4 years. Hapo uhusiano wa hayo mambo na crop production utaupata moja kwa moja (Idara za Agricultural engineering na zile za uzalishaji wa mazao zote hushiriki). Pia utapata nafasi ya kufanya project.nina diploma ya crop production na napenda kuwa engineer wa irrigation,kuna vyuo viwili vinavyo toa bachelor hiyo ingawa ziko tofauti. vyuo Hivyo ni ATC cha arusha wao wanatoa BACHELOR OF CIVIL AND IRRIGATION ENGINEERING. na chuo cha maji dar,wao wanatoa BACHELOR OF WATER RESOURCE AND IRRIGATION ENGINEERING,
sielewi ipi ni nzuri,
msaada wapendwad
Asante sana mkuu,sikujua kama sua ipo, tena imekua bora zaid ngoja niipekue kwenye web yao, ila hapo kwenye duration 4yrs dah! kweli kusoma waweza zeekea shuleSokoine University of Agriculture wanatoa-BSc.(Irrigation and Water Resources Engineering) - Duration 4 years. Hapo uhusiano wa hayo mambo na crop production utaupata moja kwa moja (Idara za Agricultural engineering na zile za uzalishaji wa mazao zote hushiriki). Pia utapata nafasi ya kufanya project.
Unapima yote hayo-urahisi wa kupata chuo, urefu wa degree unaambatana na ukubwa wa mkopo au gharama ya kujilipia, ubora wa program. Ukivipata hivyo vyote basi unafanya maamuzi.Asante sana mkuu,sikujua kama sua ipo, tena imekua bora zaid ngoja niipekue kwenye web yao, ila hapo kwenye duration 4yrs dah! kweli kusoma waweza zeekea shule
Labda ucheck Undergraduate Admission book ya mwaka jana-I assume ilikuwa categorised kama priority program. Mkopo waliweka Shs 1,263,000.00 (tuition fee).vipi mkopo wa hii ya sua ni %ngapi
We kapiga msuli mkuu, siku zinakimbia sana mara utaona ushaua 4 yearsAsante sana mkuu,sikujua kama sua ipo, tena imekua bora zaid ngoja niipekue kwenye web yao, ila hapo kwenye duration 4yrs dah! kweli kusoma waweza zeekea shule