Chuo gani cha private kinachotoa course ya pharmaceutical science?

Chuo gani cha private kinachotoa course ya pharmaceutical science?

Kina majanga gani mkuu.Naomba unitoe tongo tongo kidogo cause nafikiria kwenda kusoma hapo diploma in pharmaceutical baada ya kumaliza kadegree kangu katika mambo ya usimamizi wa biashara mwakani, ila Advance nilipiga PCB.


Nakuona ukitajirika ndani ya miaka kadhaa

Ukimaliza DPS fungua Pharmacy yako mwenyewe then ifanye kitaalam na kibiashara
 
Back
Top Bottom