Chuo gani cha private kinachotoa course ya pharmaceutical science?

Chuo gani cha private kinachotoa course ya pharmaceutical science?

mwenyewe joseph

Senior Member
Joined
Nov 1, 2016
Posts
104
Reaction score
25
Jaman chuo gan cha private kinachotoa course ya pharmaceutical science kwa ngazi ya diploma kizuri na chenye hospitali ya mazoezi
Msaaada please
 
Jaman chuo gan cha private kinachotoa course ya pharmaceutical science kwa ngazi ya diploma kizuri na chenye hospitali ya mazoezi
Msaaada please
Musoma utalii college kinatoa kipo tabora n kizur na bei yake n rahisi ni 1,400,000 tu na n private
 
Inakuwa 1,900,000 tu

Kina majanga hatari hiko chuo, jipeleke ukajitoe kafara

Kina majanga hatari hiko chuo, jipeleke ukajitoe kafara
Kina majanga gani mkuu.Naomba unitoe tongo tongo kidogo cause nafikiria kwenda kusoma hapo diploma in pharmaceutical baada ya kumaliza kadegree kangu katika mambo ya usimamizi wa biashara mwakani, ila Advance nilipiga PCB.
 
Back
Top Bottom