Chuo chetu Udom kunani?

kyojo

Member
Mar 14, 2012
91
11
Tunaomba utawala utusaidie tujue majina ya admission kwa wale wa late applicants yanatoka lin? mbona mnatuchanganya hiv?
 
serikali ndio ina jukumu hili? Ukisema serikali Unamaanisha ikulu ... kwa hiyo kazi ya TCU ni nini sasa?
 
Tunaomba utawala utusaidie tujue majina ya admission kwa wale wa late applicants yanatoka lin? mbona mnatuchanganya hiv?

kama jina lako halipo kwenye website ya chuo hata usijusumbue kuja coz hawatakusajili
 
namaanisha utawala wa chuo na si wa serikali,pia hyo list ya late applicants iko wapi kama ipo kweli?tujulishane wakuu.
 
kumbe tuko wengi mkuu,wenye taharifa tunaomba mtufafanulie hili kwani hata mie niliomba japo bado kimya hadi leo.
 
Kesho kitu kinatoka hewani hizo ni habari za uakika kutoka admission office pia kama mtu ana namba za mama Rupiana awasiliane nae kesho mambo hewani.
 
Mr.kiny ur so great atleast for ur fascionating response ..let's hope!
 
mhh!kesho si ndo leo make naona tym znazid kukata mkuu kiny
 
Jamaa hawa wa udom sijui vipi? Leo nimeshinda health science huku nikidodosa dodosa ofisi hii na hile huku walidai majina wanapublish leo lakini wanabandika mambo ya computer course ngoja tena kesho niwapandie mpaka kwa yule pro mrefu anayevaa bendera ya Tz.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom