oliver james
New Member
- Apr 30, 2015
- 1
- 0
Jamani wapendwa mimi natafuta chuo cha utalii chochote kilichopo dar es salaam naombe msada wenu viwe mchanganyiko
Nenda pale posta mpya kuna national collage of tourism ni mkabala na makumbusho ya taifa au bank ya baclays ni cha serikali wanatoa cheti na diploma.UKITAKA DEGREE NENDA SUA ,MWEKA TUMAINI..........Jamani wapendwa mimi natafuta chuo cha utalii chochote kilichopo dar es salaam naombe msada wenu viwe mchanganyiko