Kuna jamaa amekuwa akinadi chuo chake, kwenye stesheni mbili za radio zinazomilikiwa na mashirika ya kidini kuwa kinafundisha kozi ya urubani na kozi nyingine za anga. Wadau chuo hicho hakifundishi kabisa kozi za urubani Pia yeye hujinadi kuwa ni rubani nayo sio kweli. Hukiita chuo university wakati hakina sifa wala hakitambuliki kama chuo kikuu. Ada za kozi zake ni za ulanguzi e.g. Airport ground handling ths 2.5million, Flight operatons and airline management 5 million, sare ambazo ni lazima laki 4. Kwa vyuo vlivyopo airport eg cha serekali CATC na cha Regional Aviation, ada kwa kozi hizo ni Kati ya laki 8 na 1 million. Huwarubuni wazazi kuwa vijana wakihitimu kozi ya flight operatons wakiajiriwa kwenye mashirika ya ndege watakuwa wakiruka kusaidiana na marubani, jambo ambalo sio kweli. Walimu wenye sifa za kufundisha kozi hizo hana. Walio kuwepo kwa muda mfupi waliondoka, na aliyekuwa principal aliacha kutakana na utapeli uliopo. Pamoja na ukurugenzi hujiita chief instructor, wakati hata leseni ya flight operatons officers hana. Huyo jamaa hulazimisha ngono kwa baadhi ya mwanafunzi wa kike. Aliisha fukuza wanafunzi wakiume kwa kuhisi wanamahusiano wanafunzi wa kike anowanyemelea. Mmoja wa mwanafunzi hao alipeleka malalamiko TCAA. Alimtimua mwanafunzi wa kike aliyekuwa hataki kuendelea kukaa kwenye hostel ya chuo, ambayo ni nyumba ya kupanga, kwa usumbufu wa huyo jamaa kumtaka ki ngono. Wadau chuo kipo Tabata magengeni kwenye jengo la crdb.
So what? Acha umbea na majungu. kusoma wasome wao, kulipa walipe wao, kulalamika ulalamike wewe.
Mkuu ni mashirika nini? naona imekugusa, kunakosa gani kutahadharisha wazazi? Maswala ya aviation ni mageni kabisa watu wenye kiu ya watoto wao kusomea urubani ni rahisi kutapeliwa their hard earned cash. Kufumbia macho uovu si uungwana.
we unadhani urubani mpaka nje acha uvivu wa kufikiri.
Mkuu taratibu hii thread inaweza kuonekana kama umbea lakini kumbuka, kozi za fani muhimu kama urubani haziwezi kufundishwa kama jamaa alivyoeleza. Yaani kachuo kako kwenye kighorofa fulani hapo Tabata. Kimsingi hawa jamaa wanashusha hadhi ya elimu na utaalamu kabisa.So what? Acha umbea na majungu. kusoma wasome wao, kulipa walipe wao, kulalamika ulalamike wewe.
chuo cha urubani kiwe tabata u cant be seriaz khaaa
We utakuwa una wivu ama ugomvi na muhusika. kama upo serious kweli kwa nini usiende kuripoti polisi? Acheni hizo nyie
Wanafundishwa kwa theory kwenye ubao ndege inachorwa then unaonyeshwa hapa ndo Start...
Hahahah...hii ndo Bongo bwana.
chuo cha urubani kiwe tabata u cant be seriaz khaaa
kuna chuo cha serikali kinatoa mafuzo kwa ngazi ya dipl. kipo Airport. kinatoa kozi za engineering .Aviation...aeronautical engineering..in tanzania!! Ila sishangai wakubwa wezi watoto wataacha kua wezi??