ubuntuX
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 1,977
- 2,200
Wakuu
Naomba msaada kwa wenye ufahamu na chuo bora cha ufundi cha serikali au private kinachopatikana maeneo ya mkoa wa mwanza na Kagera
Itapendeza zaidi nikipewa mchanganuo wa ada kabisa, na ubora na uwezo wa mwanafunzi baada ya kuhitimu pia kozi hio ya ufundi itamalizika kwa muda gani
Ningependa ushauri pia wa aina ya ufundi wa kusomea kati ya ufundi wa Magari na ufundi umeme
Nawasilisha