Mkusaro2015
Member
- May 4, 2015
- 14
- 1
Wadau naombeni mwenye kufahamu kuhusu muda wa mafunzo ktk Chuo cha Kihonda na gharama yake tafadhali. Kwa Yeyote ambaye ameshasoma pale au anayejua kuhusu hilo. Na vipi kuhusu uwezekano wa ajira baada ya kusoma chuo hicho?? Naombeni Msaada wadau.