K Kitumburee Senior Member Joined Jan 31, 2012 Posts 142 Reaction score 89 Apr 10, 2019 #1 Habari wandugu, naomba mwenye kujua chuo cha ualimu wa shule za awali ambacho kina ada nafuu boarding anijulishe tafadhali. kiwe mkoa wa Dar es salaam au mikoa ya jirani. shukran.
Habari wandugu, naomba mwenye kujua chuo cha ualimu wa shule za awali ambacho kina ada nafuu boarding anijulishe tafadhali. kiwe mkoa wa Dar es salaam au mikoa ya jirani. shukran.
Hassan Enzi JF-Expert Member Joined Dec 7, 2015 Posts 207 Reaction score 53 Apr 11, 2019 #2 Write your reply... Njoo NACHINGWE TTC ada lak 6