Rocky City
JF-Expert Member
- Nov 22, 2017
- 1,012
- 812
Ni chuo cha kada gani?,afya au ufundi wa veta?habar wakuu,samahani naomba mwenye maelezo ya kujua chuo cha tosamaganga ni chuo cha namna gani,mtoto akisoma hapo mazingira yake yako vizur?maarifa wanatoa vizur?hakuna ubabaishaji? upande wa masomo kwa vitendo vp?fatadhali naomba kupata mbili tatu,nomeona website yao haina details nyingi na wakati kwa sasa mambo yote ni mtandao wao naona wapo nyuma kidogo hapo!
afya,kozi ya clinical officers kipo iringa.kina milikiwa na kanisa la romani nimeambiwa.Ni chuo cha kada gani?,afya au ufundi wa veta?
hapa umeandika nn mkuu??Be veve wase hela kuno vifundisa lunofu
Ila kuna ng'ala muyaaa
hapa umeandika nn mkuu??
nimeambiwa now ni clinical ,nursing imefutwa pale.Chuo kipo Poa kwa kukiangalia na ni kikongwe kwani hospitali ipo hapohapo. Ila ni girls tuu wanaosoma hapo ,japo sijajua kwa sasa ikoje
mkuu Luis mfipa why umesisitiza UKIMWI upo??hal ya hewa vp mkuu wangu kuna baridi sanaa zaidi ya sanaa,kwa anaye toka mikoa ya kanda ya ziwa anawexa kuwa fresh tu??Binafsi nmesoma shule ya sec tosamaganga IPO juu kiliman ukismama pale , kwa chini utaona sehem inaitwa IPAMBA utaona hospital kubwa saana inatwa TOSAMAGANGA DDH HOSPITAL pembezoni ndipo kilipo chuo cha afya tosamaganga,, chuo pamoja na hospital vinamilikwa na kanisa katoliki mazingira Ni supportive mwanafunzi kujifunza kwa vitendo, sijui by now ila had natoka tosamaganga 2015 chuo kilikuwa kinachukua wanafunzi Wa kike tu!! So far ni chuo kizuri ila ukienda kule usisahau UKIMWI upo, na ulanzi upo kwa wingi