EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,606
- 21,461
kwa kweli serikali ikiangalie kwa karibu maana kina mambo mengi ya ajabu hata wafanyakazi wake toka mwezi wa kumi 2017 hawajalipwa mishaharaHicho chuo aisee Majanga!!! Nlisoma miez mitatu tu nkaondoka, nliona napoteza mda tu
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 katika chuo cha teofilo kisanji mbeya.Katika hali isiyokuwa ya kawaida siku ya terehe 31/1/2018 mageti yote ya kuingilia chuoni yalifungwa na watu wa halmashauri ya jiji la mbeya.Sababu hasa ya chuo kufungiwa mageti ni kudaiwa mapato na halmashauri ya jiji la mbeya.Ili ni pigo la pili,pigo la kwanza ni chuo hiki kuzuiliwa kudahili first year mwaka jana kwa kukosa vigezo ambavyo mpaka sasa hawana hivo kuna uwezekano hata mwaka huu 2018 hawatadahili .Kwa matukio haya nabashiri kifo cha chuo hiki.
Duuuh
Kwa hiyo hakuna first year hapo?
Kinaenda kufa kifo cha mende aisee
Vyuo vingine vipungue tu aisee
Iwe college waishie diploma na certificate kana hawana sifa za degree
nA wewe umesoma pale mkuuHaahaaahaaa.....point...wametukerisha watu...kipindi kigumu....semister ya sita...
Sana mkuu hata chuo cha SAUTI mwanza ni majanga tumakanisa wako vizuri kwenye shule za msingi na sekondari kwenye vyuo vikuu naona wamevamia
kwa kweli serikali ikiangalie kwa karibu maana kina mambo mengi ya ajabu hata wafanyakazi wake toka mwezi wa kumi 2017 hawajalipwa mishahara
kumbe waliwafukuza watumishi wa bwana basi achaa waangamieLaana ya kufukuza wasabato
Kudaiwa ni jambo la kawaida. Au kioja ni kwa mageti kufungwa na halmashauri inayowadai TEKU? Huo ni upuuzi wao tu kwani chuo kitatorokea wapi mpaka ufunge geti? Au kufunga geti kuna uhusiano gani na deni? Kwa mfano geti limefungwa lakini chuo kikabuni mbinu nyingine ya wanafunzi kuingia chuoni bila kutumia geti lililofungwa na halmashauri kisha shughuli zikaendelea na deni lisilupwe ndio kufunga geti kutakuwa kumesaidia nini?Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 katika chuo cha teofilo kisanji mbeya.Katika hali isiyokuwa ya kawaida siku ya terehe 31/1/2018 mageti yote ya kuingilia chuoni yalifungwa na watu wa halmashauri ya jiji la mbeya.
Sababu hasa ya chuo kufungiwa mageti ni kudaiwa mapato na halmashauri ya jiji la mbeya.
Ili ni pigo la pili,pigo la kwanza ni chuo hiki kuzuiliwa kudahili first year mwaka jana kwa kukosa vigezo ambavyo mpaka sasa hawana hivo kuna uwezekano hata mwaka huu 2018 hawatadahili .Kwa matukio haya nabashiri kifo cha chuo hiki.