Chuo cha takwimu changanyikeni

Chuo cha takwimu changanyikeni

Embass

Member
Joined
Sep 30, 2012
Posts
10
Reaction score
1
Jamani kwa yeyote mwenye details za Chuo cha Takwimu Changanyikeni Dar es salaam especially kuhusu course za masters wanazofundisha hapo. Naomba anisaidie nategemea kuaply for masters kwenye hicho chuo.
 
am sorry kama ntakuudhi!

mambo serious lazima uwe serious sijajua kama lengo lako ni kutnataka kutueleza now unataka kusoma masterz au lah! umeshindwa kupitia web site yao au kwenda chuoni kupata full taarifa zao!
 
Hawa jamaa hawajitangazi nini sijawahi kuwasikia hata siku moja
 
Actually Niko mbali na DAR nimejaribu kugoogle ninapata page yao ya Facebook ambayo haina relevant information kama una website yao mkuu naomba unisaidie am real serious
 
Usiwe na shaka Niko vizuri kuomba msaada huo sio kwamba sina uwezo.
 
Ukitaka kumsaidia mtumika ucmsimange

Hasimangwi anaambiwa ukweli

Kumbuka anataka kufanya masters sio diploma,atafanya research,atafanya literature review,hizi taarifa zote atazitoa wapi kama sio vyanzo mbali mbali mitandaoni
 
Hiki Chuo ni cha Serikali tena cha miaka mingi, kwa nini hakijitangazi na kinaonekana kinapotential katika masuala ya Takwimu( Statistics). Au hakihitaji kujitangaza kinajitosheleza jinsi kilivyo?
 
Hiki Chuo ni cha Serikali tena cha miaka mingi, kwa nini hakijitangazi na kinaonekana kinapotential katika masuala ya Takwimu( Statistics). Au hakihitaji kujitangaza kinajitosheleza jinsi kilivyo?
Kwanza kimejificha sana utadhani wanauza bangi
 
Itakuwa hawataki watu wakijue so wasomi wa hiyo fani wanakuwa wachache hivyo wanaongizana wenyewe na watoto wao ni kama vilivyo vyuo vya misitu,hali ya hewa na madini. Hivyo vyuo havijulikani kwa wahitimu mashuleni hata kwenye selform havipo.
 
As long as ni cha Serikali sidhani kama wanaweza kufanya kitu cha namna hiyo ya kuingizana kwa kufahamiana, mi nahisi wamekosa ubunifu wa kujitangaza ili wajulikane, na kama ni chuo pekee mahususi kwa ajili ya kufundishaji wa Takwimu Mashariki mwa Afrika, wanawezaje kuchezea hiyo potential waliyonayo! Nafikiri uongozi uchangamke sasa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom