majeshi 1981
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 2,090
- 812
wanajamvi naomba anayefahamu vizuri anielekeze chuo hiki cha takwimu hapa tanzania, dar es salaam kipo wapi?
ahsante sana mkuu.Kipo changanyikeni .
Kutoka ubungo unapita chuo kikuu cha dsm kuelekea changanyikeni. Chuo kipo mara tu baada ya eneo la udsm kuisha.