Xtra Thinking
Member
- Jun 3, 2025
- 39
- 83
Ahsante kwa ushauri mkuu lakini nataka nikasome chuo kwanzaKama lengo lako ni kutaka kusoma chuo fulani mahususi ili uje uajiriwe kirahisi basi nakushauri kwa moyo mkunjufu kabisa nenda VETA, ipo siku utakuja kunishukuru.
Kwanini?
Mazingira ya sasa ya soko la ajira, hakuna chuo chochote hapa nchini au nje ya nchi kinaweza kukupa uhakika wa hata 1% ya kuja kupata ajira ikiwa utakuwa mhitimu wake.
Nitazingatia ahsante kwa ushauriWe hudhuria lecture zote. Utakuwa bingwa
Veta ndo itamuhakikishia hiyo 100% ya kupata ajira mkuu?Kama lengo lako ni kutaka kusoma chuo fulani mahususi ili uje uajiriwe kirahisi basi nakushauri kwa moyo mkunjufu kabisa nenda VETA, ipo siku utakuja kunishukuru.
Kwanini?
Mazingira ya sasa ya soko la ajira, hakuna chuo chochote hapa nchini au nje ya nchi kinaweza kukupa uhakika wa hata 1% ya kuja kupata ajira ikiwa utakuwa mhitimu wake.
....lakini kutokana na ushindani ninahofia inawezekana kukosa nafasi kwenye vyuo hivi nataka niapply na St Joseph University of Tanzania
ubora wa elimu kwenye chuo cha St Joseph
Shukrani ngoja niachane nachohizo kauli mbili tayari zishapingana, hakuna chuo pale
wakati niko ud, kuna jamaa alidisco mwaka wa 2 sababu ya gpa, akapokelewa huko st. joseph chap
ila kwa uhakika wa kupata ajira ni Veta
Nitafurahi sana kama nisipokosa hivi vyuoDIT , NIT hauwezi kukosa
mwaka juzi walichukua mpaka two ya 12Nitafurahi sana kama nisipokosa hivi vyuo
Kwa st joseph pale ada ni kubwa sana . Sema kwenye kufundisha wapo vizuri wale ma lecture wao wa kihindi 😂. Lakin usiwaze kwa hayo matokeo yako utapata dit na uhakika kabisa must i aweza ikwa changamotoWakuu mm ni mgeni humu Jamii Forums na hii ndo thread yangu ya kwanza kuandika.
Nina shida moja, mm ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu na nimesoma PCM nimepata Division II ya 10
Physics D
Chemistry C
Mathematics C
Sasa ndoto yangu ni kusoma Mechanical Engineering na hii ndo iko moyoni kuliko zote, nimeapply vyuo vitatu DIT, NIT na MUST lakini kutokana na ushindani ninahofia inawezekana kukosa nafasi kwenye vyuo hivi nataka niapply na St Joseph University of Tanzania.
Naomba mnijuze wakubwa zangu hivi ubora wa elimu kwenye chuo cha St Joseph ni mzuri au itakuja kunipa shida muda wa kutafuta ajira maana nasikia kuna vyuo Bongo hapa kupata ajira ni ngumu mara mbili zaidi
Naomba uzoefu wenu wanajf. Hili chuo ni kizuri?
Shukrani sana kwa ushauriKwa st joseph pale ada ni kubwa sana . Sema kwenye kufundisha wapo vizuri wale ma lecture wao wa kihindi 😂. Lakin usiwaze kwa hayo matokeo yako utapata dit na uhakika kabisa must i aweza ikwa changamoto
lakin pia niomeona umepewa ushauri wa kupiga civil engineering kwa pale aridhi mwisho wa cut -off point ni 7 kwa civil na wew unatano ww nakushauri kama unataka civil engineering omba udsm utapata pale aridhi ilo 10k linaweza potea bure,
pia saut ya mwanza wanatoa civil engineering kwa ada yake siyo kubwa sana lakin mazingira ya kujifunzia siya jui kabisa kama ungeweza bata mtu akupe experience ingekuwa fresh.
Kuna DMI wenyew pale wanatoa bachelor of mechanical and marine engineering ukiombs pale utapata .