Kwa taarifa ambazo tumezipata muda huu zinadai kuwa wanachuo wa chuo cha Saut-Mbeya kuna mgomo uliosababishwa na uongozi wa chuo hicho kumfukuza kazi lecturer anayejulikana kwa jina la Acran John kutokana na kinachodaiwa ni kutokana na shinikizo la Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndio kupelekea wanafunzi kugoma kuingia madarasani.Kama kuna yeyote yuko eneo la tukio atujuze vizuri
Mwakipesile siyo MNEC Mby kuwa mkweli na st. Augustine ni university Very strong u-cdm na u-ccm Hauwezi kuitikisa na huyo lecturer hakuwa hapo chuo kwa siasa zake bali kwa taaluma yake kitu ambacho naamini hbari hii imechakachuliwa!!!Niko Mbeya muda huu....hilo tukio ni la kweli, nina jamaa yangu anasoma hapo kanieleza jambo hilo...
Huyo mhadhiri nasikia ana mpango wa kwenda kugombea ubunge katika moja ya majimbo mkoani Kigoma.
Tatizo la migogoro SAUT mbeya pia linachangiwa na bwana mdogo Charles Mwakipesile ambaye anasoma hapo.
Mwakipesile ni MNEC wa ccm, mwandishi wa habari gazeti majira na mc maarufu hapa mbeya.
Tangu amejiunga na chuo hicho kama mwanafunzi alijaribu kugombea nafasi ya. urais wa serikali ya wanafunzi akapigwa chini kwa sababu ya uccm wake.
Anatumia nafasi ya unec kutaka kuifanya saut mbeya kiwe kambi ya ccm....
Tafakari...
Mwakipesile siyo MNEC Mby kuwa mkweli na st. Augustine ni university Very strong u-cdm na u-ccm Hauwezi kuitikisa na huyo lecturer hakuwa hapo chuo kwa siasa zake bali kwa taaluma yake kitu ambacho naamini hbari hii imechakachuliwa!!!
Ni wakati sahihi wa kuikataa ccm
Huyo lecturer ana mambo ya ajabu ajabu sana kama amefukuzwa ni kwa ajili ya ujinga wake mwenyewe wala sio sababu kwamba ya ucdm wake.