Chuo cha mipango Dodoma

neurosurgeon

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
376
Reaction score
355
jamani wadau hii degree ya bachelor of urban development planning and environment management ina future yoyote ukiacha halmashauri na maeneo gani mengine unaweza ukafanya kazi au miradi yoyote
 
Future yake nzuri ni kuweza kukupa fursa ya kujiajiri....

Go for it
 
Pigeni shule tu wakuu, degree yoyote inalipa hata kama ni cookery kikubwa ni kujiandaa kisaikolojia utakuja kuitumiaje huku uraiani baada ya kumaliza miaka mitatu, mkija hapa mje na maswali haya "hivi hii degree flani ninayosoma nitaitumiaje ili iweze kunikwamua kimaisha", huku uraiani watu wamesoma hiki wanafanya kile na maisha yanakwenda bila shida kabisa
 
Mkuu #Cathode #Rays Vipi kuhusu bsc finance and investment planning

Kaka kozi za Mipango ziko designed vizuri sana.....na kama hawajachakachua sasa ni chuo kizuri sana na ukipata kozi yoyote hapo nakushauri usiiache hasa ukiona inaendana na ndoto zako.

Usiangalie tu jina la kozi, pitia na content zake utagundua pia kuwa hiyo kozi ni nzuri
 
Ndugu tafakari soma kitu ambacho kitakupa maarifa ya kusimama mwenyewe na si kuajiriwa maana kwa sasa nafasi moja inagombewa na watu elfu hamsini utakapomaliza huenda wakafika laki
 
Mipango napakubari kwa mademu cheap ila si kwa vitu vingine. degree ya mipango itakuwa kama ile ya nappe Nauye ya india
 
Nilisoma environmental planning ni nzuri sana ila ajira hamna tegemea kujiajili au daraja la kusoma mastas ya course nyingine
 

Daah nimependa sana ushauri wako aisee.... ni kweli kabisa unayosema....shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…