E Eliah Member Joined Jun 8, 2009 Posts 32 Reaction score 0 Oct 5, 2016 #1 Naomba kujua kuhusu chuo hiki, nimechaguliwa kwa kozi ya diploma. kipo umbali gani kutoka mjini dodoma?, umbali wa hosteli hadi chuo? nk help please.
Naomba kujua kuhusu chuo hiki, nimechaguliwa kwa kozi ya diploma. kipo umbali gani kutoka mjini dodoma?, umbali wa hosteli hadi chuo? nk help please.
shushushu VIP JF-Expert Member Joined Jul 24, 2016 Posts 4,800 Reaction score 4,319 Oct 5, 2016 #2 umbali ni km kama 47 kutoka mjin mimi nipo dodoma mjini hapa na naul ya kutoka mjini mpaka huko ni 2000 tu .. kipo vzur hicho chuo
umbali ni km kama 47 kutoka mjin mimi nipo dodoma mjini hapa na naul ya kutoka mjini mpaka huko ni 2000 tu .. kipo vzur hicho chuo
N Ngiyemenya Member Joined Aug 11, 2016 Posts 67 Reaction score 32 Oct 5, 2016 #3 no Bonge LA chuo mazngra mazur xana yaan kama mbele