Siamini kama ndio unataka ku apply, maana msimu wa kufanya applications ushapita. Ila kama ndio umechaguliwa kwenda chuo hiki ambacho hukifahamu hata A basi umechemsha vibaya. Siamini kama umechaguliwa au ndugu yako kachaguliwa kwenda kwenye chuo usichokifahamu, ila naamini wajiandaa kwa ajili ya applications za mwaka 2012.