Chuo cha hali ya hewa kigoma

Chuo cha hali ya hewa kigoma

tzhumoally

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2015
Posts
412
Reaction score
156
Kwa yeyote ambae aliechaguliwa na anaekijua hiki chuo naomba anieleweshe maana mdogo wangu kachaguliwa humo ila anaogopa akimaliza kama hajaajiriwa ndio amekaa nyumbani maana hakuna kujiajiri katika hali ya hewa
 
Hicho Chuo hata mie kuna ndugu yangu kapangiwa huko, wanafungua tarehe 8/1/2017. Nasikia darasa hilo litakuwa na wanafunzi kama 12 tu!. Hiki Chuo wanasoma kwa pesa ya serikali, hakuna ada, wanakula, wanalala kwa mtonyo wa serikali. Wakimaliza masomo yao, wanapangiwa vituo vya kazi kama vile unavyoona polisi wakimaliza siku hiyo hiyo wanasambazwa vituo vya kazi walipopangiwa. Mwambie huyo ndugu yako awasiliane na huyu ndugu yangu kwa simu nambari
0626 35 93 23
0759 52 03 06
mie huyu ndugu yangu ni mwanamme
 
Sawa mkuu nashukuru sana
 
Yupo dar na ni wa kiume..tayar wameshawasiliana
heeeeeeeeeeeeeeeee safi sana JF ina raha zake, kumbe tayari wamewasiliana! safi sana. Sasa mbona hujaniambia ahsante kwa kuwa mkweli kwako???
 
Back
Top Bottom