Thanks mtoa uzi but kwa taarifa yako hamjafanikiwa ivo kama unavyo jarib kupotosha ,nikiwa miongon mwa wana dit jana nilishuudia kile nilichokuwa nikikisikia kutoka kwa wat kuwa ccm kupata wat lazima wapewe posho ,kwel zilikuja gar tatu wakipelekwa cocobeach na matumain ya vijana hao wakiamin wanaenda kupewa posho ambazo waliaidiwa na kinana kwenye mkutano wa juz ambao ulifanyika msimbazi, cha ajabu ilikuwa tofaut coz vijana hao walipewa plau na mziki na pombe ambapo walirudishwa chuo saa sita usku weng wakiwa wamelewa. CHA KUSHANGAZA NI MPANGO AMBAO CCM KAMA CHAMA TAWALA WALIO NAO KWA WANA DIT AMBAO HAWANA KADI ZA KIJAN KUTOFANYA MTIHAN KWA KUTIZAMA SABABU KUWA HAWAJARIPA KARO AU AWAKULIPA KWA MDA TOFAUT NA WANA CCM WENYE VIGEZO SAWA NA WAO, MTIHAN AMBAO TUNAANZA TAREHE 2.2.2015 KWA KUMTUMIA PR. KONDORO AMBAE ALISTAAF MWAKA JANA LAKIN AMEREJESHWA MAARUM KWA MWAKA MMOJA MPAKA UCHAGUZ UHISHE HAYA YOTE YANAFANYA KWA USHIRIKIANO NA UYO BARONGO AMBAYE NAE AMEHAMUA KUANZA MWAKA WA KWANZA KUFANIKISHA HUU UPUUZ, MTU AMBAYE NIKIINGIA MWAKA WA KWANZA DIT ALIKUWA RAIS WACHUO NA ALIFUKUZWA NA KWA UTOVU WA NIDHAM AJABU LEO PR. KONDORO ANAFANYA KAZI KWA MAGIZO YA UYU BARONGO. KWEL TZ NI NGUMU KILA SECTA IMETEKWA NYARA. TUNASHUKURU COZ UTARATIBU NI ULEULE UNAOTUMIKA UDOM NA VYUO VINGINE NDIVYO DIT ILIVYO KUWA KUFUKUZA VIONGOZ WOTE AKIWEMO RAIS, NAZAAN MMEDHAMILIA MSOME KIJAN PEKE YENU.........