Chuo cha diplomasia kurasini

Chuo cha diplomasia kurasini

GKM

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2012
Posts
738
Reaction score
332
:help:

Wakuu naombeni mnisaidie clue ya life after kumaliza hapo hususani kuhusu ajira hasa kwa PGD ya Economic Diplomacy. Je ni kozi nzuri? Ajira zipo?

Natanguliza shukrani.
​
 
Kozi ni nzuri tu mkuu, cha msingi komaa umalize ukiwa unavijua vitu na sio vitu vikujue wewe.

:help:

Wakuu naombeni mnisaidie clue ya life after kumaliza hapo hususani kuhusu ajira hasa kwa PGD ya Economic Diplomacy. Je ni kozi nzuri? Ajira zipo?

Natanguliza shukrani.
​
 
Back
Top Bottom