Hiv computer science ukimliza unapiga job ganimsaada wa vyuo vinavyotoa course ya computer science kwa diploma.
Job yeyote ambayo imebase na mambo information technology.. ila kuna sekta nyingi sana kwenye computer science so its all about IT and ScienceHiv computer science ukimliza unapiga job gani
Nenda DIT au University of Dar Es Salaam Computing Centermsaada wa vyuo vinavyotoa course ya computer science kwa diploma.
Vyuo vya Computer science binafsi naona ni IFM, Uniqe academy na udsm ila IFM kipo vizuri sana sana, coz nilishaenda udsm nikaona bado wako local ila ifm na uniqe wapo vizuri hata walimu wao wanajua vitu na ufundishaji pia ni mzuri.msaada wa vyuo vinavyotoa course ya computer science kwa diploma.
DIT kuna Computer engineering, na IT ambayo kimefadhiliwa na wahindi.. Wapo vizur kwenye networking ila sio programmingNenda DIT au University of Dar Es Salaam Computing Center
Asante kwa nyongezaDIT kuna Computer engineering, na IT ambayo kimefadhiliwa na wahindi.. Wapo vizur kwenye networking ila sio programming
asante mkuu.Vyuo vya Computer science binafsi naona ni IFM, Uniqe academy na udsm ila IFM kipo vizuri sana sana, coz nilishaenda udsm nikaona bado wako local ila ifm na uniqe wapo vizuri hata walimu wao wanajua vitu na ufundishaji pia ni mzuri.
Ifm application ya diploma bado wanapokea we wahi karibia wanafunga wiki hii na unique ni private institute ambacho kipo maeneo ya upanga mkabala na maktaba kuuasante mkuu.
mkuu ifm application bado wanapokea?,na unique academy kipo wapi.