Chuo bora kwa kozi ya Famasia

Chuo bora kwa kozi ya Famasia

Cobrahypnosis

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2021
Posts
362
Reaction score
679
Hellow habari zenu wadau. Natumaini mu wazima wote. Naomba kujuzwa ni chuo gani bola kwa kozi ya pharmacy ngazi ya diploma
 
Vyuo vyote bora, ni kichwa chako tu mkuu, Afterall ukishakuwa chuo Hamna maswala ya kutafuniwa kama Sekondari, tafuta chuo chochote chenye usajiri halali kapige shule.
All the best...
 
Back
Top Bottom