Chunguza hii picha...

Siamini kama anaweza kwenda baharini bila kuvaa pedi! labda ni kinywaji kilimwaga kabla na siyo vinginevyo! Na hawezi kuwa na furaha hivyo kama anatokwa na harufu ya damu chafu huku ikimtoka........................just airing my perceptions.
 
Hahahah. Mzizi lini utakuja bongo?? Ukija nishtue nikupeleke batani

unataka kumpeleka Ambrosia....? si salama tena pale......itabidi tutafute kiota kingine Boflo.........
 
Last edited by a moderator:
Ndiyo maana watu wengine hawali samaki wa baharini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…