Nadhani kuna waraka ulitolewa. Ushauri kama mkiwatag humu wahusika wangetoa hicho kigezo cha asilimia ili mwenye haki ya kupata daraja apate daraja.
Vinginevyo wameamua kuwakomesha watumishi.
Hii ni kumgombanisha mama anayewapambania watumishi kuwaboreshea stahiki zao na watumishi wenyewe.