Salaam!
Kijqna chunga vitu viwili la sivyo tutahabikiwa na tusijue wapi tulipokosea tutate namna bora ya kutumia ulimi wetu si kila jambo tunaweza sema au nyeti tukazitumia kila mahala kwan majuto yake huwa ni makubwa na kuna utawaacha wanakulilia bila sabb za msingi
Tutafakari si kila jambo unaweza sema tutakwisha!!