chumba patandi college

mumie mumy

Member
Joined
Nov 21, 2014
Posts
71
Reaction score
28
jamani mambo alie jirani na mazingira hayo msaada kwa mdogo wangu kupata chumba amechaguliwa hapo high diploma education
 
Mwambie aandae tu vitu vya chumba atapata fasta coz vyumba ni unlimited mtaani
 
Kwa sababu maeneo nje ya pale mengi yana crime cases sn nimewahi ishi hapo chini darajani jirani na kwa fundi.
 
20 au 25 nilishaishi apo kipind cha nyuma asiwaze atakubia akifka
asante maana garama ni kubwa sana alafu juma tatu ndo wanafungua karibu milion mbili ili akae na kula hapo ntauliza kama watakubali nimlipie hostel alafu ajitegemee kula
 
cost za maisha pale sio ghali kama unavyofkiria ni kawaida tu atainjoy mazngra ni rafiki sana

sijui kwanin vyuo vikuu vya serikali havikuwepo kwa wingi arusha kuna AIA na mandela only
 
asante sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…