Suzzie
Member
- Feb 25, 2009
- 98
- 12
Habari zenu wapendwa, kuna vyumba na sebule vinapangishwa kigamboni eneo la soko maziwa mbele kidogo ya tungi kwa shilingi 70,000/ kwa mwezi. kodi ni kuanzia miezi sita. maji yanapatikana masaa 24. ipo karibu kabisa na kituo ni mwendo wa dk 2/3 kufika kituoni. kwa anaehitaji ani pm