clinton gidioni Senior Member Joined Oct 24, 2016 Posts 172 Reaction score 194 Jan 1, 2020 #1 Habari wakuu chumba na sebule vinahitajika gongo la mboto kodi isizidi 70000. Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu chumba na sebule vinahitajika gongo la mboto kodi isizidi 70000. Sent using Jamii Forums mobile app
I igihumbi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2017 Posts 578 Reaction score 575 Jan 1, 2020 #2 ukipata na mimi nitag mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
Morning_star JF-Expert Member Joined Apr 21, 2018 Posts 6,008 Reaction score 17,479 Jan 7, 2020 #3 Hivi gongolamboto JF inafika?
bigmind JF-Expert Member Joined Oct 28, 2015 Posts 12,457 Reaction score 12,714 Jan 7, 2020 #4 Nataka chumba (master) na sebule kimara mwisho, kona, baruti na stopover umbali kutoka barabara dk 10 maximum, maji, umeme visiwe vya kuchangia watu zaidi ya 3. Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka chumba (master) na sebule kimara mwisho, kona, baruti na stopover umbali kutoka barabara dk 10 maximum, maji, umeme visiwe vya kuchangia watu zaidi ya 3. Sent using Jamii Forums mobile app
Darmian JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 17,311 Reaction score 46,839 Jan 7, 2020 #5 No retreat no surrender said: Hivi gongolamboto JF inafika? Click to expand... Hahaha!!!