K kdany Senior Member Joined Jul 20, 2012 Posts 149 Reaction score 25 Feb 6, 2014 #1 Habari....wakuu kuna chumba na sebule kinapangishwa buguruni..mitre 150 kutoka soko la buguruni au ofc za cuf...bei ni laki na themanin...chumba kna tiles...gypsum ..na n self.maji yapo ...karibun kwa p.m.
Habari....wakuu kuna chumba na sebule kinapangishwa buguruni..mitre 150 kutoka soko la buguruni au ofc za cuf...bei ni laki na themanin...chumba kna tiles...gypsum ..na n self.maji yapo ...karibun kwa p.m.
C CHRISTURKER JF-Expert Member Joined Nov 24, 2012 Posts 267 Reaction score 55 Feb 6, 2014 #2 Malipo Mwaka au Miezi 6 au kila mwezi
pozzyfaza JF-Expert Member Joined Mar 20, 2012 Posts 1,453 Reaction score 268 Feb 6, 2014 #3 buguruni kwa bei hiyo mkuu, tena uswahilini, tena hauchelewi kuibiwa,tenamakahaba haishi kushikishana ukuta dirishani. embu punguza bei Mawazo.
buguruni kwa bei hiyo mkuu, tena uswahilini, tena hauchelewi kuibiwa,tenamakahaba haishi kushikishana ukuta dirishani. embu punguza bei Mawazo.
pozzyfaza JF-Expert Member Joined Mar 20, 2012 Posts 1,453 Reaction score 268 Feb 6, 2014 #4 buguruni kwa bei hiyo mkuu, tena uswahilini, tena hauchelewi kuibiwa,tenamakahaba haishi kushikishana ukuta dirishani. embu punguza bei Mweshimiwa
buguruni kwa bei hiyo mkuu, tena uswahilini, tena hauchelewi kuibiwa,tenamakahaba haishi kushikishana ukuta dirishani. embu punguza bei Mweshimiwa
jossey1979 Senior Member Joined Apr 28, 2008 Posts 174 Reaction score 44 Feb 6, 2014 #5 kama hutaki chumba si unyamaze! unapondaaaaaa halafu unasema punguza bei? sasa kama kina all those diadvantages unataka upunguziwe bei ili iweje?
kama hutaki chumba si unyamaze! unapondaaaaaa halafu unasema punguza bei? sasa kama kina all those diadvantages unataka upunguziwe bei ili iweje?
K kdany Senior Member Joined Jul 20, 2012 Posts 149 Reaction score 25 Feb 8, 2014 Thread starter #6 CHRISTURKER said: Malipo Mwaka au Miezi 6 au kila mwezi Click to expand... mkuu bei n miez sita...kuna kngne lakisha na. 80
CHRISTURKER said: Malipo Mwaka au Miezi 6 au kila mwezi Click to expand... mkuu bei n miez sita...kuna kngne lakisha na. 80
Iyokopokomayoko JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 1,785 Reaction score 444 Feb 9, 2014 #7 jossey1979 said: kama hutaki chumba si unyamaze! unapondaaaaaa halafu unasema punguza bei? sasa kama kina all those diadvantages unataka upunguziwe bei ili iweje? Click to expand... ukiona hivyo ujuwe huyo hata siyo mhitaji ila alitaka tujuwe vile anavyoijuwa buguruni
jossey1979 said: kama hutaki chumba si unyamaze! unapondaaaaaa halafu unasema punguza bei? sasa kama kina all those diadvantages unataka upunguziwe bei ili iweje? Click to expand... ukiona hivyo ujuwe huyo hata siyo mhitaji ila alitaka tujuwe vile anavyoijuwa buguruni