Chumba na sebule for rent Kimara kituoni kabisa

Chumba na sebule for rent Kimara kituoni kabisa

Kijanakijana

Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
30
Reaction score
2
Chumba kikubwa futi 18 kwa 18 na choo chake self,na madirisha yenye hewa na sebule ukubwa huo huo.mainroad ya morogoro road ni mita 75 toka barabarani.nyumba ipo juu,main road ipo chini kidogo.nyumba ina maji ya dawasco kwa wiki yanatoka mara mbili.umeme wa luku kuchangia wastani ni 30 000 kwa mwezi kwa mtu mmoja.

nyumba imetulia.
mwenye nyumba ni mtu mzima na ana mji wake pembeni kabisa na ni mtu poa sana,piece mno

huduma zote muhimu kama bucha la kisasa,,bar ya kisasa na yenye jiko la maana na dj wa uhakika siku zote vipo jirani.internet na mpesa,,airtel money na tigo pesa vyote hivyo vipo jirani sana yaani mwendo wa dk 3.

usafiri kama mjuavyo morogoro road mauda yamemwaga mapya mpaka kero.
pia kama unatoka mkoani kanda zote kati kusini ya mbeya na songea na kaskazini,kushuka ni rahisi mno.unashuka hapo hapo main road na tayari upo kwako.

bei ni laki moja na nusu kodi ya mwaka.dalali anachagi kodi ya mwezi mmoja toka kwa mteja mtarajiwa.
karibuni.
 
tatizo maji,je kuna tenki la kuhifadhi maji?
 
bei ni 150,000 mara 12 ni milioni 1.8 plus hela ya dalali inakuja milioni moja na laki tisa na nusu.
 
Bei umetisha mwambie akamate 120
 
Kwanini kuishi nyumba za kupanga?
 
Angalia gharama ya kulipia pango kwa mwaka, umeme tajwa kwa mwezi mara miezi kumi na mbili .

Utajikuta umeshalipia kiwango fulani cha pesa ya kwanja cha 20 kw 20 squater, kama una njozi za kujenga nyumba yako. Ikiwa utamudu gharama za hilo pango
 
mia thelathini mwisho.comfirmed na landlord TIQO & AARON ULAYA
 
Last edited by a moderator:
Mmmh ni bei sana haa au sijaelewa single chuma au ni chuma na sebule????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom