Chumba master sebule na jiko vinapangishwa Kimara

mjasilia

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2012
Posts
594
Reaction score
172
ANAYE HITAJI NYUMBA (Dsm)

CHUMBA MASTER NA SEBULE NA JIKO, KIMARA KOROGWE DAKIKA 3 KUTOKA KITUO CHA CHA MWENDO KASI.

MALIPO (TSHS 160000/=) MIEZI 6, NIPIGIE MOJA KWA MOJA NA UWE SERIOUS PLZ MIMI SI DALALI.

0784 321 716.
 
Wewe ni mwenye nyumba?

Swali:
1. ina wapangaji wangapi?
2. Ina uzio/ukuta?
3. ina luku ya kujitegemea?
4.ina deni benki?
5. Ina maji kujitegemea?
6. mwenye nyumba anaishi hapo?
7. Kuna maegesho ya gari?
8.Kuna duka/pub ya Mangi kwa mbele?
9. kuna ulinzi shirikishi?
10. imezindikwa?
11. Watoto wa land lord wanakaa hapo? nani mpokeaji wa kodi?

NOTE: hiyo kodi ni kubwa sana kwa kichumba , tena KImara kwenye miinuko, Sinza na kijitonyama kwa 120,00 unpata.
 
Ndugu, ni share holder kwa mjibu wa mkataba wa sasa, natakiwa kuhama naenda mikoani sasa nimelipa kodi juzi kati hivyo mwenye nyumba kaniambia nitafute mpangaji naye anatafuta pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaongelea kimara ipi ndugu, naomba hiyo chumba ya 120000 chumba master, subule na jiko, halafu dk 4 kuja morogoro road ni mlipie ata mchepuko wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu, ni share holder kwa mjibu wa mkataba wa sasa, natakiwa kuhama naenda mikoani sasa nimelipa kodi juzi kati hivyo mwenye nyumba kaniambia nitafute mpangaji naye anatafuta pia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Bado una-dalalia na kwa mujibu wa sheria za udalali unapaswa usajiliwe na kulipa kodi kitu ambacho najua huna kibali na kodi hulipi, anyway na hii corona wewe tafuta boya wa kumpangisha kwa hiyo hla.
 
Unaongea vitu ambavyo havijawahi kuexist nahisi labda huna kazi ndiyo maana unaprolong mazungumzo yasiyo na maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado una-dalalia na kwa mujibu wa sheria za udalali unapaswa usajiliwe na kulipa kodi kitu ambacho najua huna kibali na kodi hulipi, anyway na hii corona wewe tafuta boya wa kumpangisha kwa hiyo hla.
Hivi we kenge ulishawahi ata kujenga banda la kuku au unaongea upotolo tu hapa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom