John W. Mlacha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 3,504
- 1,343
Kina jikoni?
Chumba kizuri. Je wewe ndo mwenye mpango wa kujenga hilo jiko au ni mwenye nyumba. Na je mwenye nyumba anajua kwamba unatafuta mpangaji mwingine?
Hiyo laki na kumi ni kwa mwezi?kimara?
ikiisha kodi..mwenye nyumba hutaka ngapi kwa mwezi
natumia luku peke yangu au nashea?