Chumba kinapatikana maeneo ya stand mpya mawasiliano

Chumba kinapatikana maeneo ya stand mpya mawasiliano

el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,712
Reaction score
5,074
Wale ambao hawataki shida ya usafiri kwa kukaa sehemu ambayo ni centre ya usafiri basi kuna chumba kinapatikana katika stand mpya ya hapa mawasiliano

Huduma za choo ni kushare bei ya hicho chumba ni elfu 75 kwa mwezi...kwa maelezo zaidi njoo Pm
 
Duuu (....kinapatikana katika stand mpya ya hapa mawasiliano....) haya dalali tumekusoma. Lugha ngumu jamani, kielezi, chagizo, kivumishi, nomino, kwenye mabano mi sijaelewa kitu aiseee
 
Mwl wa kiswahili hapa hutaelewa asee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom