Chumba kinapangishwa Mwenge DSM

Chumba kinapangishwa Mwenge DSM

Chumba cha kulala/biashara/ngono/kujifungulia/mahabusu/ au???

Kuwa specific basi. Afu Mwenge ni kubwa sana.... Isitoshe naamini ka Tecno kako kana Kamera... hebu itumie basi....

Hufanani na maswali ya aina hii.
 
babu njoo nikupe tamuuuuu...upunguze hasira...how are you? miss u😛
Ewaaa.....umenena vyema hebu twende PM tukafanye yetu....

Hapana mkuu.. Sheria tunazijua sana, kuna tofauti kati ya ukweli na matusi.. Ila mkuu aache kukurupuka kama Huna shida na kitu ni bora ukae kimya, fwatilia comments za jamaa za kila jukwaani hajawahi kuchangia kitu cha maana zaidi ya kuponda kila kitu, jamaa aache kiherehere na kujifanya anajua, mfwatilieni huyu jamaa then mlete mrejesho
Acha kulialia jibu swali langu la msingi.... Chumba kwa maana ya chumba kina matumizi mengi. Sema chumba chako ni kwa ajili ya biashara au makazi?? Na mwenge ni kubwa, sema Mwenge maeneo gani??
Hufanani na maswali ya aina hii.
Nani anayefanana na maswali?
 
Ewaaa.....umenena vyema hebu twende PM tukafanye yetu....

Acha kulialia jibu swali langu la msingi.... Chumba kwa maana ya chumba kina matumizi mengi. Sema chumba chako ni kwa ajili ya biashara au makazi?? Na mwenge ni kubwa, sema Mwenge maeneo gani??
Nani anayefanana na maswali?

Maswali yako umeya-set Ki-nazinazi.
 
Hicho cha 80000 master au na hicho cha 130000 pia kikoje naomba ufafanuzi na je viko ndani ya fence au la?
 
we tunzo weeee...ngoja upelekwe segadance na haya maneno yako..vip am serious hivyo vyumba ni master ndugu au vya kawaida..

Mkuu hizo mbili zimeshatoka , ila kuna mija nayo ni ya 450 mwisho ni 400, inategemea utakavyoongea na mwenye nyumba, na hii ina vyumba vitatu vya kulala na jiko na sebule na maji yapo ya kutosha na ina uzio, ila haina masters ,ila ni safi kila kitu kipo na ina marumaru mpaka nnje kwenye veranda, nyumba ipo mwenge kijijini opposite magorofa ya jeshi near TRA
 
asante Tunzo nimeshapata my dear nyumba... asante kwa kunikumbuka pia see you next time
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom