danikiruma
Senior Member
- Feb 25, 2019
- 101
- 76
Ndugu Wana jamii forum Kama kichwa Cha habari hapo juu chumba kipo magomeni kata ya Makurumla mtaa wa mianzini chumba kina Hali nzuri Sana rangi,siling board na umeme maji yapo nje kinapangishwa kwa Bei nafuu Sana kwa mwezi shilingi 35000/=xmiezi 6=210000 umeme itategemea Sana matumizi yenu wote ndani ya nyumba lakini haizidi alfu 10 kwa mwezi mzima maji unanunua nje kwa mwenye nyumba.
Chumba Ni changu mwenyewe hakuna Dalali Wala mtu wa Kati tuwasiliane kwa Maelezo zaidi 0675196845 au 0682194847.
Chumba Ni changu mwenyewe hakuna Dalali Wala mtu wa Kati tuwasiliane kwa Maelezo zaidi 0675196845 au 0682194847.