Chumba kinahitajika

Chumba kinahitajika

TATE

Member
Joined
Aug 11, 2010
Posts
89
Reaction score
17
Chumba cha kuishi kiwe na choo cha kujitegemea, kodi isizidi 120,000. maeneo mwenge, tabata, survey nk.
 
nchi, mkoa, wilaya nk..cha biashara au cha kuishi..
 
nakushauri uende tabata kimanga stendi, kuna ofisi inaitwa True Road Commission Agent, karibu na kwa mpemba atakusaidia mara moja, simu yake 0715 680773
 
nenda kinondoni manyanya kituoni kuna madalali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom