Chumba kinahitajika Ubungo DSM

Chumba kinahitajika Ubungo DSM

mwana mpendwa

Senior Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
171
Reaction score
21
Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya river side na external. Chumba kiwe self, chenye tiles, kiwe ndani ya geti, kiwe na maji na umeme. Kisiwe mbali na kituo cha daladala mwenye nacho nicheki tuongee
0712162678
 
Laki mbili miezi sita two bedrooms and toilet inside, nyumba ni mpya umeme maji yapo. Location Kibo-Ubungo. Kituo cha gari ni Kibo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom