F Farmer82 Senior Member Joined Sep 15, 2013 Posts 183 Reaction score 39 Oct 13, 2014 #1 Wadau ninatafuta chumba maeneo ya Temeke Wailes!chumba kiwe kwenye eneo tulivu na kusiwe na muingiliano sana wa watu!napendelea kiwe self ila hata kama si self basi kiwe katika mazibgira ya watu waliostaarabika!kwa mwenye nacho naomba ani pm
Wadau ninatafuta chumba maeneo ya Temeke Wailes!chumba kiwe kwenye eneo tulivu na kusiwe na muingiliano sana wa watu!napendelea kiwe self ila hata kama si self basi kiwe katika mazibgira ya watu waliostaarabika!kwa mwenye nacho naomba ani pm
1800 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 2,215 Reaction score 612 Oct 15, 2014 #2 Mkuu hapa labda ungeomba namba za madalali wa maeneo husika!la sivyo no ngumu kupata nyumba
uwepo JF-Expert Member Joined Jun 17, 2014 Posts 600 Reaction score 743 Oct 19, 2014 #3 vipi ushapata kuna kimoja kipo mwananyamala
integral sign Senior Member Joined Jul 13, 2013 Posts 160 Reaction score 13 Oct 19, 2014 #4 uwepo said: vipi ushapata kuna kimoja kipo mwananyamala Click to expand... mwananyamala ipi mzee. je ni self contained na sh. ngapi?? nahitaji mimi haraka
uwepo said: vipi ushapata kuna kimoja kipo mwananyamala Click to expand... mwananyamala ipi mzee. je ni self contained na sh. ngapi?? nahitaji mimi haraka