Chumba kinahitajika mwanza

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,342
Reaction score
12,472
Habari wanajamvi ,Mimi sio mwenyeji wa mwanza ila nataka niende mwanza wiki hii na nataka nikakae huko mwaka 1 ,ila naomba mniambie bei ya chumba cha kupanga kwa mwanza mjini hasa mitaa ya karibu na office za TBC ,nahitaji vya bei ndogo kama vle 35000 kwa mwezi if its possible
 
Nenda pale Ofisi za majitaka kuna vyumba na pale ni karibu na TBC.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…