shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,337
habari wadau.
chumba kimoja kinapangishwa ubungo external.. near mabibo hostel. kuanzia tarehe 1/7/2015,,,
kipo ndani ya fence na kuna geti, kuna umeme na maji dawasco.
na maji ya kisima ( drilling ambayo yanauzwa kipindi cha shida ya maji dawasco)
kodi ni elfu 60,000 kwa mwezi. inalipwa kwa miezi 6.
mwenye nyumba anahitaji bachelor( yaani mtu anayeishi peke yake)
kijana anaeanza maisha / mwanachuo.
0658 000106