Chumba kimoja kinapangishwa (Ubungo external near Mabibo hostel)

Chumba kimoja kinapangishwa (Ubungo external near Mabibo hostel)

shaurimbaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2013
Posts
1,915
Reaction score
2,337
habari wadau..

single masterbedroom kinapangishwa ubungo external near mabibo hostel.

chumba hicho kipo nyuma ya epza. kipo ndani ya fence na kuna gate

pia kuna umeme na maji dawasco.

bei 70,000 kwa mwez kodi miez 6.

mwenye nyumba ana prefer mpangaj awe bachelor hasa hasa wa kike. ( maana wanaume kila siku kubadili mademu, so amechoka wapangaji wa kiume).

so mpangaj wa kike ndio atapewa kipaumbele..

chumba kipo sehem nzuri na kina tiles... kipo suitable sana kwa binti anaeanza maisha mfanyakazi/ mwanachuo..

kama upo interested piga no 0658 000106
 
Tangazo zuri, swali mwenye nyumba ana ndoa timilifu kweli, mdada atakayepanga hapo atakuwa safe kweli? Ikiwa ni wanandoa wanahitaji kupanga je wataruhusiwa?
 
Mwenye nyumba anatafuta mke ama mpangaji? Mwambie apangishe binti zake kama kuna anayeanza maisha sasa!
 
Hahahaa, huyo mwenye nyumba inaelekea ni bachelor au mgane!
 
Tangazo zuri, swali mwenye nyumba ana ndoa timilifu kweli, mdada atakayepanga hapo atakuwa safe kweli? Ikiwa ni wanandoa wanahitaji kupanga je wataruhusiwa?

mwanaume anaeruhusiwa ni alie kwenye ndoa tu.

ni maamuzi tu ya mwenye nyumba
 
jana ulitoa tangazo sehemu hiyo hiyo kuwa una kanyumba cha vyumba viwili,self,jiko na dining sehemu hyo hyo ya sasa,

Sasaa,ni hapo hapo kwenye UA moja haka ka sasa ni kaservant Kota au ni nn tena???
 
jana ulitoa tangazo sehemu hiyo hiyo kuwa una kanyumba cha vyumba viwili,self,jiko na dining sehemu hyo hyo ya sasa,

Sasaa,ni hapo hapo kwenye UA moja haka ka sasa ni kaservant Kota au ni nn tena???

ile ilishapangishwa.. na nilisha update lile tangazo..

hii ni servant quarter inajitegemea.. single master bedroom tu
 
mwenye nyumba ni mwanamke pia..

mama mtu mzima.. pilika pilika za vijana wa kiume zimemshinda

Hajui tu, kama yeye ni mama mtu mzima basi wadada watamsumbua kuzidi mwanaume! Kama hataki kelele kwake ni heri asipangishe kabisaa, au aachane na wanafunzi atafute mpangaji wa kiume ambaye ni mwajiriwa/mjasiriamali anayejiheshimu, atafute taratibu tu awaambie rafiki zake watamletea mtu wanayemjua ni mtulivu.
 
mwanaume anaeruhusiwa ni alie kwenye ndoa tu.

ni maamuzi tu ya mwenye nyumba

Anakuballi mpangaji aliye kwenye ndoa lakini mke wake haishi Dar? Nina jamaa yangu anahitaji chumba, familia yake iko mkoa, na yeye hapa mjini huwa anakuja anakaa wiki kadhaa anapiga kazi zake anaondoka, ndani ya mwezi anaweza kuwepo wiki tatu. Anahitaji chumba ili kupunguza gharama za Guest House. Vipi mama atampokea? Ni mtu msaarabu sana.
 
Je kina ukubwa gani. Nielekeze leo by saa kumi nikakicheki au kimeshachukuliwa tayali? Je mwenye nyumba anaishi hapo hapo na kuna wapangaji wangapi?
 
afuge kuku ah.hapana kuku wanakelele.afuge nyoka awana kelele.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom