Tofautisha Umbali na Muda,Mkuu mbona nimesema dakika 20 mpaka 30 kwa kutembea
Vuta maji yaingize kwako tutakuja.Chumba kinapangishwa kipo katika mazingira mazuri kabisa ya utulivu
Wapangaji wapo sita vyoo vipo vinne mabafu yapo matatu vyumba vingine ni self container vimejaa
Umeme buku kumi kwa mwezi
Maji yapo karibu ya bomba ni 100 ndoo kwa mwezi ni 5000
Hakuna udalali ukiamua utanipa hela ya soda ha ha ha ......just kiding
HajajibuAkikujibu nishtue!