pale ni kwao si kwamba alijenga ni sinza Vatican mtaa wa California...Lifestyle wengi walikuwa wanaishi maisha ya kwenye movie na lifestyle sawa na yale wanayoyaona kwenye movie za mbele hasa za black americans.
Wasanii wa zamani si kwamba walikuwa hawapati pesa, ila walikuwa na matumizi na wanaishi bila mipango halafu wakiisha kimuziki wanajawa na stress wengine wanageukia madawa wengine ili kuendelez lifestyle lao wanakuwa punda.
Ni wachache ambao waliwekeza walau hata jmoe alijenga nyumba akawa baba mwenye nyumba wa irene uwoya.
Kupanga ni kuchagua
Mbona yeye alisema kuwa kajenga kutokana na mziki na uwoya naye akawa anasema alikuwa baba mwenye nyumba wakepale ni kwao si kwamba alijenga ni sinza Vatican mtaa wa California...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana nkashangaaapale ni kwao si kwamba alijenga ni sinza Vatican mtaa wa California...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwapa "credit" mawingu ni kuwaonea! Hawahusiki!Wasanii na mihadarati
Credits ziende mawingu flani hivi.
Tumepoteza vijana wengi sana
Nani kasema.Kuwapa "credit" mawingu ni kuwaonea! Hawahusiki!
Hata USA wasanii wanaishiwa na wanajiingiza kwenye madawa sababu ya stress. Ndio maisha yalivyo, kuna wengine sio wasanii nao wanashika hela na wanaishiwa, ni maisha tuLifestyle wengi walikuwa wanaishi maisha ya kwenye movie na lifestyle sawa na yale wanayoyaona kwenye movie za mbele hasa za black americans.
Wasanii wa zamani si kwamba walikuwa hawapati pesa, ila walikuwa na matumizi na wanaishi bila mipango halafu wakiisha kimuziki wanajawa na stress wengine wanageukia madawa wengine ili kuendelez lifestyle lao wanakuwa punda.
Ni wachache ambao waliwekeza walau hata jmoe alijenga nyumba akawa baba mwenye nyumba wa irene uwoya.
Kupanga ni kuchagua
Kwanini akumbukwe Ngwair peke yake? Tuwakumbuke wote kwa ujumla wao.... Mr Blue, Alikiba, Dully, Jaydee, Fid Q, na wengine wote! Au unataka kusema Ngwair peke yake ndio alikuwa frustrated? Kuilaumu Clouds ni kutaka kuwatafutia wasanii excuse isiyo na mashiko!Nani kasema.
Akumbukwe Ngwear Boy
Yai bovuKwanini akumbukwe Ngwair peke yake? Tuwakumbuke wote kwa ujumla wao.... Mr Blue, Alikiba, Dully, Jaydee, Fid Q, na wengine wote! Au unataka kusema Ngwair peke yake ndio alikuwa frustrated? Kuilaumu Clouds ni kutaka kuwatafutia wasanii excuse isiyo na mashiko!
Watu wazima na akili zao huwezi kulalamika kwamba kuna watu wanawaharibu. Tusema tu kwamba ni bad decisions ndio zinazotutesa kwenye maishaKuna watu wanawaharibu...
At this point ndio hua namsifu Diamond Platnumz kwa kuonesha njia ya wasanii kunufaika na vipaji vyao.
Sasa angalau wasanii unaona wananufaika na wao ndio wanakua top kwenye management tofauti na zamani.
I feel so bad for Joslin. Mihadarati ni balaa
Kuna ukweli aisee.Mkuu nimeishi nao hao.
Walikuwa esposed kwenye drugs kuwapumbaza wasiwe serious kufuatilia wizi wanaofanyiwa na mameneja wao