Chumba cha kupanga.

Chumba cha kupanga.

Issa m

Member
Joined
Jul 23, 2017
Posts
13
Reaction score
1
Nahitaji chumba cha kupanga,maeneo ya Ubungo,Kimara na Magomeni.Kiwe self container nyumba safi mpya.Pia nataka kujua niandae bei gani.
 
Nahitaji chumba cha kupanga,maeneo ya Ubungo,Kimara na Magomeni.Kiwe self container nyumba safi mpya.Pia nataka kujua niandae bei gani.
Nyumba mpya sio? Self "container"? Hebu weka wazi kidogo hilo container liwe la futi ishirini au arobaini?

Umesema Magomeni?? Ngoja nikutafutie mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: Lee

Similar Discussions

Back
Top Bottom