C Catryn Francy New Member Joined Jun 21, 2012 Posts 4 Reaction score 0 Jun 22, 2012 #1 Natafuta chumba cha kupanga, maeneo ya SINZA, KIJITONYAMA na MWENGE, Uwezo wangu wa kifedha ni shilingi 50,000/= kisiwe uswazi na ikiwezekana MWENYE NYUMBA asiwe anaishi hapo.
Natafuta chumba cha kupanga, maeneo ya SINZA, KIJITONYAMA na MWENGE, Uwezo wangu wa kifedha ni shilingi 50,000/= kisiwe uswazi na ikiwezekana MWENYE NYUMBA asiwe anaishi hapo.
Nduka JF-Expert Member Joined Dec 3, 2008 Posts 8,552 Reaction score 2,387 Jun 22, 2012 #2 Cat tunza hyo 50k yako njoo uishi kwangu buree.
Fabolous JF-Expert Member Joined Sep 23, 2010 Posts 3,558 Reaction score 5,107 Jun 22, 2012 #3 Nduka said: Cat tunza hyo 50k yako njoo uishi kwangu buree. Click to expand... kasema mwenye nyumba asiwe anaishi hapo je unataka kumuachia nyumba bure
Nduka said: Cat tunza hyo 50k yako njoo uishi kwangu buree. Click to expand... kasema mwenye nyumba asiwe anaishi hapo je unataka kumuachia nyumba bure
C Catryn Francy New Member Joined Jun 21, 2012 Posts 4 Reaction score 0 Jun 22, 2012 Thread starter #4 Nduka said: Cat tunza hyo 50k yako njoo uishi kwangu buree. Click to expand... Jaman mwenzio niko serious, nisaidie kama unafahamu!
Nduka said: Cat tunza hyo 50k yako njoo uishi kwangu buree. Click to expand... Jaman mwenzio niko serious, nisaidie kama unafahamu!
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,709 Jun 22, 2012 #5 Hapa utajichanganya tu, humu tumejaa wasanii kibao, tafuta dalali mitaa ya sinza wakutafutie chumba bibie.
Hapa utajichanganya tu, humu tumejaa wasanii kibao, tafuta dalali mitaa ya sinza wakutafutie chumba bibie.
C Catryn Francy New Member Joined Jun 21, 2012 Posts 4 Reaction score 0 Jun 22, 2012 Thread starter #6 hapana, kwa asilimia kubwa ninavyofahamu mimi ni kuwa wenyenyumba wengi huwa wakorofi bhana.
C Catryn Francy New Member Joined Jun 21, 2012 Posts 4 Reaction score 0 Jun 22, 2012 Thread starter #7 Mamndenyi said: Hapa utajichanganya tu, humu tumejaa wasanii kibao, tafuta dalali mitaa ya sinza wakutafutie chumba bibie. Click to expand... word!!!
Mamndenyi said: Hapa utajichanganya tu, humu tumejaa wasanii kibao, tafuta dalali mitaa ya sinza wakutafutie chumba bibie. Click to expand... word!!!
Nduka JF-Expert Member Joined Dec 3, 2008 Posts 8,552 Reaction score 2,387 Jun 22, 2012 #8 Catryn Francy said: Jaman mwenzio niko serious, nisaidie kama unafahamu! Click to expand... Kwa Sinza, K'nyama na Mwenge ninayoijua 50K na isiwe uswahilini ni impossible. Njoo tuishi pamoja jaman upweke unanikondesha.
Catryn Francy said: Jaman mwenzio niko serious, nisaidie kama unafahamu! Click to expand... Kwa Sinza, K'nyama na Mwenge ninayoijua 50K na isiwe uswahilini ni impossible. Njoo tuishi pamoja jaman upweke unanikondesha.